0
Ndugu 

  Wadau wa blog yangu nilikuwa kimya sana kwa muda mrefu kutokana na mihangahiko ya hapa napale ,,kwasasa tegemea mambo mazuri zaidi kutoka katika hii blog,,picha za matuko mbalimbali.,habari zitakokuwepo za wasanii haswa wa taarabu na mambo mengine mengi
Kama una shughuli yoyote,biashara yako kama ni mama mjasiriamali unataka kuonyesha bidhaa zako katika hii blog karibu sana

WASILINA NAMI KWA 0713289775 au Email Nyangeta111@gmail.com
        

  ASANTENI;
0
0


IJUMAA KAREEM







NIM EWAMISS SANAAAAAAA MAJEMBE YANGU

0








My bro wa ukweli Ras Midude,mimi,G.voice na Mama Mfundo





DA NASRA MJITA ORIGNAL HAHAAAA AKISHOW LOVE MTOTO WA MAMA NYAMBUGE
 


FULL SHANGWE SIKU MOJA MOJA JAMANI KWA MWAKA KUENJOY NA NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI SI MBAYA,INASAIDIA HATA KUPUNGUZA MAWAZO

WANYUMBANIIIIII  WEWE MUSOMA LINE HAPANA CHEZEA WATOTO WA MUSOMA MTAKUJA,HAHAHAAHA





MAJEMBE YA 90.9 CHUCHU FM,RAAAAAAAAAAAS MIDUDE NA G VOICE

MUCH RESPECT WAUKWEE'E











0
HEBU MSIUMIZE VICHWA VYENU KUFUATILIA MAISHA YA WATU ETI KALA NINI,ATAOLEWA LINI ATAZAA NA NANI?  HAMUACHIIIIIIIIIIIIIII

Nimekaa sana nikawafikiria waja wanaoendekeza majungu kama mtaji na kufatilia maisha ya watu,jamani kila mtu na maisha yake kama wewe unaona dill kuolewa au kuoa wengine hawapendi,kama wewe unapenda kujirusha kila kiwanja wengine hawapendi kwa hivyo msipende kuwalazimisha watu waishi vile nyie mnataka.

KIROHO SAFIIIIII nawambia angalieni ustaarabu wenu haramu yako halali ya mwenzako,Rohoni mmeathirika kwa roho zenu mbaya muache kupaparika tazameni yalo yenu yangu hayawahusu wala hayawasaidiii.siachi nilipopashika hata mmwage sumu ,wasabasi kazi kwenu rohoni mimi naburudika mnajipa tabu wenzangu naringa kwa bahati yangu kipato changu si chenu.kazii kwenu.
ANGALIENI YANAYOWAHUSU MSIANGALIE YANGU COZ HAYATAWASAIDIA NA SITAKI HURUMA ZA MAMBA ,

0
ZANZIBAR, imo katika  juma la unywaji wa maziwa ambapo kilele cha maadhimisho haya kinatarajiwa kufikia mei 27 ambapo wananchi wa Zanzibar katika wilaya zote watanyweshwa maziwa.
 Idara ya mifugo Zanzibar imeanza kujiandaa kutekeleza azma hiyo kufikiwa baada ya kutenga lita 500 ambazo zitagawiwa kwa wananchi ikiwa ni hatua ya kukuza mwamko kwa jamii kutumia maziwa.
   kwa hatua hiyo Idara ya mifugo inachukua ikiwa ni sehemu iliyobaini kuwa ni ya misingi hivi sasa kufanyiwa kazi baada ya kuonekana mwamko wa jamii ni mdogo sana katika kunywa maziwa.
    Takwimu zinaonyesha  kuwa Zanzibar ipo chini kwa utumiaji wa maziwa kwa mtu ni kati ya lita 31 ,kwa mwaka ikilinganishwa na Tanzabia Bara lita 40,Uganda lita 42,Kenya lita 85 na kiwango kilichowekwa na shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) cha lita 200 kwa mtu kwa mwaka.


Hapa haijajulikana tatizo hasa la watu kutokunywa maziwa ni nini,sijui hatujui umuhimu wa maziwa au ni ugumu wa maisha tulionao?

Marekani ya kata misaada kwa Pakistan

0

Kamati ya baraza la senate nchini Marekani, imekata misaada ya kwa serikali ya Pakistan kwa dola milioni thelathini na tatu kila mwaka.

Hatua hiyo imechukuliwa kujibu uamuzi wa mahakama moja nchini humo wa kumfunga daktari ambaye alisaida Idara ya Ujasusi CIA, kumnasa Osama Bin Laden
Shakil Afridi alihukumiwa kifungo cha miaka thelathini na tatu baada ya kupatikana na hatia ya uhaini.
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bi Hillary Clinton, amesema dakatari huyo kamwe hakufanyiwa haki na haikubaliki.

Mwaka jana, kikosi maalum cha jeshi la Marekani kilimuua Osama bin Laden, mjini Abbottabad Pakistan, alipokuwa amejificha.
Mauaji ya Osama, yalizua tofauti kati Marekani na Pakistan, nchi ambazo zimekuwa na ushirikiano wa karibu hasaa katika juhudi za kukabiliana na ugaidi.
Pakistan ilichukulia operesheni hiyo ya kumsaka Osama bila idhini yake kama kuishushia hadhi yake ya kitaifa

MABINGWA WAPYA WA ULAYA 2012

0
 Hapo chachaaaaa