0
ZANZIBAR, imo katika juma la unywaji wa maziwa ambapo kilele cha maadhimisho haya kinatarajiwa kufikia mei 27 ambapo wananchi wa Zanzibar katika wilaya zote watanyweshwa maziwa.
Idara ya mifugo Zanzibar imeanza kujiandaa kutekeleza azma hiyo kufikiwa baada ya kutenga lita 500 ambazo zitagawiwa kwa wananchi ikiwa ni hatua ya kukuza mwamko kwa jamii kutumia maziwa.
kwa hatua hiyo Idara ya mifugo inachukua ikiwa ni sehemu iliyobaini kuwa ni ya misingi hivi sasa kufanyiwa kazi baada ya kuonekana mwamko wa jamii ni mdogo sana katika kunywa maziwa.
Takwimu zinaonyesha kuwa Zanzibar ipo chini kwa utumiaji wa maziwa kwa mtu ni kati ya lita 31 ,kwa mwaka ikilinganishwa na Tanzabia Bara lita 40,Uganda lita 42,Kenya lita 85 na kiwango kilichowekwa na shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) cha lita 200 kwa mtu kwa mwaka.
Hapa haijajulikana tatizo hasa la watu kutokunywa maziwa ni nini,sijui hatujui umuhimu wa maziwa au ni ugumu wa maisha tulionao?