KIUKWELI LEO PIKA PAKUA ILIKUWA IMENOGA SANA SWAIBA BA SHANI WAWEZA KUMUITA SPIDER AKIELEZEA JAMBO FULANI KWA MAKINI ZAIDI ILI AWEZE KUELEKA KWA WASIKILIZAJI WAKE
Mimi ni mtangazaji wa Radio one ,pata nafasi nzuri ya kunisikiliza katika vipindi tofauti tofauti vya redio one.Maisha yangu binafsi napenda sana kufurahi ,kukosolewa,kuelimishwa,Sipendi majungu ,umbeya na watu wenye chuki binafsi.Napenda kusikiliza music,kuimba,kuogelea ingawa sijui saana