sijaelewa kama mama wa huyu mtoto alikuwa kachoka akaona asaidiane na mnazi au ndo stail mpya ya kubembelezea watoto,hahahah hii hatari sana ila ni vijimambo tu
Mimi ni mtangazaji wa Radio one ,pata nafasi nzuri ya kunisikiliza katika vipindi tofauti tofauti vya redio one.Maisha yangu binafsi napenda sana kufurahi ,kukosolewa,kuelimishwa,Sipendi majungu ,umbeya na watu wenye chuki binafsi.Napenda kusikiliza music,kuimba,kuogelea ingawa sijui saana