KILIKUWA NI KIPIGO CHA KUDHALILISHA MECHI YA WATANI WA JADI YANGA DHIDI YA SIMBA KATIKA MECHI YAO ILIYOFANYIKA KATIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM WAKATI WEKUNDU WA MSIMBAZI WAKITOA KIPIGO CHA MBWA MWIZI CHA '5-0 DHIDI YA MAHASIMU WAO
WAZIRI WA HABARI,VIJANA,UTAMADUNI NA MICHEZO DK FENELLA MUKANGARA (KUSHOTO) AKIMKABIDHI KOMBE LA UBINGWA WA TANZANIA BARA BAADA YA MECHI KUMALIZIKA KWENYE UWANJA WA TAIFA DSM.
Mimi ni mtangazaji wa Radio one ,pata nafasi nzuri ya kunisikiliza katika vipindi tofauti tofauti vya redio one.Maisha yangu binafsi napenda sana kufurahi ,kukosolewa,kuelimishwa,Sipendi majungu ,umbeya na watu wenye chuki binafsi.Napenda kusikiliza music,kuimba,kuogelea ingawa sijui saana